[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Kiazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:10, 12 Juni 2014 na ChriKo (majadiliano | michango) (Nyongeza picha)

Kiazi ni sehemu ya mzizi wa mmea ambayo imekua nene na inahifadhi chakula cha mmea. Mifano ni kiazi kitamu, kiazi kikuu, kiazi cha kizungu, jimbi na karoti. Kiazi kisichanganyikiwe na tunguu ambalo ni sehemu ya shina.

Picha